Thursday, April 27, 2017

MAAJABU YA MANPREET SINGH

 Bw. Manpreet Singh
Umri Miaka 21
Urefu Inchi 23
Uzito Kgs 6.8
 Manpreet hawezi kutembea wala kuongea,
 Anao ndugu wawili, lakini wao wana kimo cha kawaida.
Madaktari wanasema ni tatizo la Tezi, ambayo imemsababishia kudumaa tokea alipofikisha umri wa miezi sita.
Wazazi wake Bw.Jagtar Singh na Bi Manjeet Kaur wanaishi jimbo la Punjab.

Source: The Sun
Natalie KEEGAN

No comments:

Post a Comment