Thursday, April 27, 2017

MAAJABU YA MANPREET SINGH

 Bw. Manpreet Singh
Umri Miaka 21
Urefu Inchi 23
Uzito Kgs 6.8
 Manpreet hawezi kutembea wala kuongea,
 Anao ndugu wawili, lakini wao wana kimo cha kawaida.
Madaktari wanasema ni tatizo la Tezi, ambayo imemsababishia kudumaa tokea alipofikisha umri wa miezi sita.
Wazazi wake Bw.Jagtar Singh na Bi Manjeet Kaur wanaishi jimbo la Punjab.

Source: The Sun
Natalie KEEGAN

Wednesday, April 26, 2017

MNAZI MMOJA HAPA

Mnazi mmoja,siyo ile ya Darisalama.
Hii ni njiapanda maarufu kusini,
15 Kms Lindi
118 Kms Masasi, kupitia Mtama
80 Kms Mtwara

HAPA NA PALE KIJIWENI MTWARA

Baada ya mizunguko,
Kijiweni kwa ajiri ya ku refresh, na stori za hapa na pale.
Fire Canteen

Tuesday, April 25, 2017

THE BEAUTY OF MIKINDANI BEACH

 Fishing activities in deep sea

Msimbati Line Bus, arriving from Dar
 Girl in Hijabu, cycling along the Beach
View of Mtwara Parish in Sunset from Mikindani

FROM MIKINDANI TO MTWARA

Back from Mikindani to Mtwara Town we experienced a public bus transport services plying between Masasi and Mtwara.

Monday, April 24, 2017

SHORT TOUR OF OLD BOMA HOTEL, MIKINDANI

 Mtwara bila kufika Mikindani hujaijua Mtwara,
Lakini Mikindani bila kufika Old boma Hotel, hujaijua mikindani pia.
 Mwenyeji wetu alitupeleka kutembelea Old Boma Hotel kwa matembezi ya muda mfupi.
Ni jengo la zamani, miaka zaidi ya 120 iliyopita. Lilitumika kama Ofisi za Utawala wa Wajerumani na baadae waingereza. Liko kilimani kabisa likiangalia pwani ipendezayo ya Mikindani.
 Kwa hisani ya Trade Aid lilikarabatiwa na kuanza kwa matumizi kama Hotel ya Kitalii mnamo 2011
 



 Madhari nzuri ya kufurahia pemebeni mwa Bwawa la kuogelea

 Mtungi wa kihistoria,
Ukiweza kuunyanyua, ulitosha kuchukuliwa utumwani kwa inaonyesha una nguvu za kutosha.

 View ya kupendeza ya Bahari ya mikindani





 Court room, enzi za utawala wa Kikoloni


 Dada Susy, Our Tour guide