Monday, April 24, 2017

SHORT TOUR OF OLD BOMA HOTEL, MIKINDANI

 Mtwara bila kufika Mikindani hujaijua Mtwara,
Lakini Mikindani bila kufika Old boma Hotel, hujaijua mikindani pia.
 Mwenyeji wetu alitupeleka kutembelea Old Boma Hotel kwa matembezi ya muda mfupi.
Ni jengo la zamani, miaka zaidi ya 120 iliyopita. Lilitumika kama Ofisi za Utawala wa Wajerumani na baadae waingereza. Liko kilimani kabisa likiangalia pwani ipendezayo ya Mikindani.
 Kwa hisani ya Trade Aid lilikarabatiwa na kuanza kwa matumizi kama Hotel ya Kitalii mnamo 2011
 



 Madhari nzuri ya kufurahia pemebeni mwa Bwawa la kuogelea

 Mtungi wa kihistoria,
Ukiweza kuunyanyua, ulitosha kuchukuliwa utumwani kwa inaonyesha una nguvu za kutosha.

 View ya kupendeza ya Bahari ya mikindani





 Court room, enzi za utawala wa Kikoloni


 Dada Susy, Our Tour guide

No comments:

Post a Comment