Tuesday, March 21, 2017

TANZIA: NYAMAIRA KUBHOJA

Bi Nyamaira Kubhoja.

Wadau wa Blog.
Taarifa zilizoifikia blogu yetu asubuhi ya leo.
Bibi yetu Nyamaira Kubhoja amefikwa na mauti jana 20 March 2017 mchana Hospitali ya Kibara.
Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwake Igundu.

Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina lake lihimidiwe.
Apumzike kwa Amani

No comments:

Post a Comment