Tuesday, March 28, 2017

CHEMA HAKIKOSI KASORO


Mvua ni njema,
Mvua ni Baraka,
Hata hivyo mvua za jana zimeondoka na mti wetu tulioutunza kwa miaka zaidi ya kumi sasa.
Kinyerezi kwetu.

No comments:

Post a Comment