Thursday, September 22, 2016

KUTEMBELEA MNADANI

Kutembelea Mnadani,
Hakika ni changampto ya aina yake,
Mara ya mwisho kuwepo Namhula mnadani ni takribani miaka 40 iliyopita,
Mara nyingi kwa kuongozana na Mzazi kwa ajili ya kuuza mifugo ili kujipatia ada ya shule. Nimetembelea tena mnadani safari hii kwa  kununua mifugo kwa ajili ya kitoweo.
Mambo mengi yamebadilika..............
Nafurahi nilipata nafasi ya kuketi kwenye mabaraza ya wazoefu kwa kupata stori mbalimbali za hapa na pale.

No comments:

Post a Comment