Wednesday, January 27, 2016

KIZUNGUMKUTI CHA ACCOUNT YA FOCONA

 Usiombe account yako kule NMB ikawa Dormant !
 Ni kizungumkuti.
Focona Liason Officer, Dar Es Salaam akifuatilia utaratibu wa ufufuaji ulioanza wiki iliyopita.

No comments:

Post a Comment