Thursday, January 28, 2016

DAR NA ADHA YA MVUA

Dar Es Salaam jiji la ajabu sana, Tutaililia mvua, ooh joto limezidi, ooh jua kali...........
Mvua ikinyesha masaa machache, ni adha isiyopimika. Mafuriko, madimbwi, foleni........
Wee acha tu.
Tazara leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment