Monday, October 19, 2015

TANZIA

Babu yetu Mzee Kasereka Maande hatunae.
Ameaga dunia juzi 17 Oktoba 2015 huko Mabhui.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina lake lihimidiwe.

No comments:

Post a Comment