Saturday, October 17, 2015

KAZI NI KAZI

Nadra sana kumwona Kondakta wa Daladala akiwa Mdada,
Lakini sivyo kwa daladala hii ya Buguruni Manzese.
Mdada huyu anawajibika vilivyo, hapa anapiga debe Buguruni Rozana.
Jumamosi asubuhi

No comments:

Post a Comment