Friday, October 30, 2015

Thursday, October 29, 2015

HONGERA BAVICHA

Katibu Mwenezi CDM Nakatuba,  na Diwani Mteule wakitoa shukrani zao kwa wapiga kura.
Nakatuba leo alasiri.

MWIZI MTAALAMU

Doris Payne
Je wajua kuwa kuna Mwizi mtaalamu?
Bi Kizee Doris Payne, miaka 85 anaweza kuitwa mwizi mtaalamu wa vito.
Amezaliwa October 30, 1929 au 1930
Alianza wizi akiwa na miaka 23, mnamo 1952.
Ameshatumia a.k.a. 22
Vitambulisho vya uraia 10
Akitoa tarehe ya kuzaliwa tofauti mara 9.
Na anasema hatarajii kama ataacha, kwa sababu haibi kwa sababu ya shida ya pesa,
bali hujikuta ameiba tu.
An internationally renowned jewellery thief is alleged to have struck again in Atlanta, taking a pair of earrings before being caught Photograph: Chandan Khanna/AFP/Getty Images

SOURCE:Mitandao mbalimbali
 bbc,theguardian,wikipedia  etc

DAWA YA MOTO NI MOTO!!!

Ilikuwa ni sinema ya aina yake leo asubuhi, kituo cha njiapanda ya segerea.
Dereva wa Daladala lifanyalo safari za Gongo la Mboto Tandika T257 ADV, alimchomekea mwenzie Daladala lifanyalo safari za Gongo la Mboto Mawasiliano na kuvunja Side Mirror ya kushoto, likasepa.
Kufika njia panda akamkuta bado anapakia, kwa kulipa kisasi akashuka akaenda akavunja Side mirror ya Gari hilo la Tandika.
Madereva wote wakiwa wameshuka wakapimana ubavu, Bahati nzuri Dereva wa Mawasiliano alipata support ya abiria wake katika kumshushia kichapo dereva wa Tandika.
Pichani kifua wazi ni Dereva wa Tandika ambae shati lake liliraruriwa katika tafrani hiyo.
Tafadhalini tutumie barabara kwa uangalifu.

Sunday, October 25, 2015

THANKS HALOTEL

Nyamagoti,
Live Nakatuba
Kwa hisani ya live photos from Jovi

MAISHA BAADA YA UCHAGUZI

Samunge kwetu,
Wengi waliokwisha piga kura wamejielekeza kwenye mambo ya msosi na kufuatilia upigaji Kura sehemu mbalimbali kwenye Runinga.

HAKI YA HABARI

Haki ya kupata habari ni kwa kila mtu.
Ahsante magazeti ya kila siku.
Kinyerezi Mbuyuni kwetu leo asubuhi.

KIZAAZAA KIJIWENI

Samunge kwetu asubuhi,
Gari kubwa lililobeba mbao lilipokata nyaya za umeme.
Ahsante Tanesco waliweza kutoka eneo la tukio ndani ya muda mfupi.

GENERAL ELECTION

Kinyerezi kwetu.
Blogger amekwisha piga Kura yake.
Zoezi linaendelea kwa Armani na utulivu hadi sasa.

Friday, October 23, 2015

Thursday, October 22, 2015

TANZIA

BREAKING NEWS:
Taarifa kutoka Karukekere ni kwamba ndugu yetu, mpendwa wetu
NYAMWEYA MUYABHI MAGOTI hatunae.
Amefariki alfajiri ya kuamkia leo.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.
Tutakukumbuka mpendwa Nyamweya kwa upendo wako na ukarimu kwa wote.
Amen.

Wednesday, October 21, 2015

ITS GRADUATION DAY

Yaliyojiri leo kwenye mnuso wa graduation ya mdau Bernadeta,
Dr Nchimbi Secondary, Bunda.
Leo mchana.
CONGRATULATIONS  BETA