Thursday, October 29, 2015

MWIZI MTAALAMU

Doris Payne
Je wajua kuwa kuna Mwizi mtaalamu?
Bi Kizee Doris Payne, miaka 85 anaweza kuitwa mwizi mtaalamu wa vito.
Amezaliwa October 30, 1929 au 1930
Alianza wizi akiwa na miaka 23, mnamo 1952.
Ameshatumia a.k.a. 22
Vitambulisho vya uraia 10
Akitoa tarehe ya kuzaliwa tofauti mara 9.
Na anasema hatarajii kama ataacha, kwa sababu haibi kwa sababu ya shida ya pesa,
bali hujikuta ameiba tu.
An internationally renowned jewellery thief is alleged to have struck again in Atlanta, taking a pair of earrings before being caught Photograph: Chandan Khanna/AFP/Getty Images

SOURCE:Mitandao mbalimbali
 bbc,theguardian,wikipedia  etc

No comments:

Post a Comment