Sunday, August 16, 2015

MTOTO WA MTOTO

Kabla ya kufikisha miaka 40,
Nyang'oko Bahati ni Bibi,
Mtoto wake ana mtoto.
Pichani Bibi Nyang'oko akimlea mjukuu Baraka,
Mtoto wa mtoto wake Penina.
Hongera kwa kutuongezea idadi ya wajukuu.

No comments:

Post a Comment