Sunday, August 16, 2015

MEETING MZEE MGETA MTOLERA

Baada ya miaka mingi, safari yetu Musoma ilitukutanisha tena na Mzee wetu Mgeta Mtolera.
Pamoja na umri kusonga sana hivi sasa, Mzee Mgeta bado ni mwenye kuwa na Nguvu, Uono mwangavu na kumbukumbu na akili thabiti.
Changamoto pekee anayokumbana nayo ni matatizo ya miguu.
Tunazidi kumwombea mwenyezi Mungu azidi kumpa umri mrefu kusudi hekima na busara zake ziendelee kutumulikia.

No comments:

Post a Comment