Monday, March 2, 2015

SAFARI YA MWISHO YA Bi MWAJUMA HADJI

 
 
 
 
 
 

 
Baada ya kuugua kwa muda mrefu Ndugu yetu, Mpendwa wetu Bi. Mwajuma Hadji hatimae alifikiwa na umauti Ijumaa tarehe 27 Februari 2015, Mchana nyumbani kwa mdogo wale Bi. Salama,
Lugalo Area C.
Mazishi yamefanyika Jumamosi 28 Februari 2015, Mchana katika makaburi ya Mwanakalenge Bagamoyo.
Hizi ni baadhi ya picha za yaliyojiri katika kumsindikiza mpendwa wetu kwenye safari yake ya mwisho.

Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un

No comments:

Post a Comment