Monday, March 2, 2015

NG'OMBE WA SERIKALI

Ama kweli kama anavyosema Mjengwa,
"Ng'ombe wa serikali huzikwa na ngozi yake"
Huenda gari hili lililowekwa pale nje ya Caravan Serai, Bagamoyo likawa sehemu ya historia kwa vizaji vijavyo.

No comments:

Post a Comment