Thursday, July 24, 2014

BYE BYE UKAPERA

Mwanzo wa safari yenye matumaini.
Mdau wetu
KAGERE MWAYAI MSALYA
leo ni siku maalum kwake, anauaga Ukapera.
Mdau wetu leo anataraji kufunga ndoa na Bi LUCY MAJAGA.
kwenye kanisa la Waadivensita wa Sabato Nakatuba.
BWANA akawajalie maisha mema yenye neema na kumcha Mungu.
Mkatengeneze familia yenye upendo.

No comments:

Post a Comment