Thursday, July 24, 2014

BURIANI GILBERT

Mdau wetu
GILBERT SILAS GUNZE
hatunae
Amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwa dada yake Kinyerezi Dar Es Salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika hapohapo Kinyerezi.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina lake lihimidiwe

No comments:

Post a Comment