Thursday, July 31, 2014

NYOMI

Mashuhuda wa Harusi ya Kagere na Lucy
Kanisa la Waadiventista wa Sabato, Nakatuba

MWANZA MJI MZURI

Mwanza yetu,
Yenye Milima ya mawe,
Maji baridi ya ziwa Victoria,
Na samaki watamu......

Wednesday, July 30, 2014

WAZAA CHEMA

Naam,
Hawa ndio wazaa chema, wazazi wa Bwana Harusi Kagere
Bw Mwayai Msalya na Bi Mwajuma Chiyarata

KWA SHIDA NA RAHA

Na alichokiunganisha MUNGU, mwanadamu hawezi kutengua
Kwani ninyi sasa Kagere na Lucy mu mwili mmoja

Tuesday, July 29, 2014

Thursday, July 24, 2014

BYE BYE UKAPERA

Mwanzo wa safari yenye matumaini.
Mdau wetu
KAGERE MWAYAI MSALYA
leo ni siku maalum kwake, anauaga Ukapera.
Mdau wetu leo anataraji kufunga ndoa na Bi LUCY MAJAGA.
kwenye kanisa la Waadivensita wa Sabato Nakatuba.
BWANA akawajalie maisha mema yenye neema na kumcha Mungu.
Mkatengeneze familia yenye upendo.

BURIANI GILBERT

Mdau wetu
GILBERT SILAS GUNZE
hatunae
Amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwa dada yake Kinyerezi Dar Es Salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika hapohapo Kinyerezi.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina lake lihimidiwe

Monday, July 21, 2014

TUNAOMBA UPONYAJI WAKO EEH BWANA



Psalm 41:3
The LORD sustains them on their sickbed and restores them from their bed of illness.
Please Lord,
Heal your son Gilbert Silas

THE BELLYs

Belly Snr and Junior
Preparing dawa for Babu

HAPPY BIRTHDAY WARDA

Mdau wetu
WARDA MOHAMED
Leo ni siku maalum ya mmoja wa wadau wa blog yetu.
Ni birthday ya mdau Warda
HAPPY BIRTHDAY WARDA

NURSE ON DUTY

 Muuguzi wa zamu kazini
Kipunguni Jumapili

HABARI NI MUHIMU

Mithali 4:13
Mkamate sana Elimu, usimwache aende zake, Maana yeye ni uzima wako

BHWACHASUGU JAJI

Bhwachasugu Jaji, na goti mpaka chini ndiyo heshima ya kwetu.
Kipunguni Jumapili

Thursday, July 17, 2014

TUMETOKA MBALI......

 Jovi & Paul
 Lulu with Mom (late Isabella Mwambe)
 Rebecca with Aunt Beria and Mom Jenifer
 Nakatuba 1987, Msalya, Manyori, Mashaka and Maseme
 Msalya, Penian
 Ubungo, Penina and Manyori
Chuma, Kabhajiro,Nyang'oko, Makubhi,Msalya,Eddyson, Kamoga,Baruku, Dr George, Maseme and Late Nyamumwi

BABU PHOTO COLLECTIONS

 Penina with Babu CK
 Manyori,CK, Penina and Msalya
 CK with the deceased family of Josia Msalya
 Late Nyamalelo Better Msalya (1961 -1985)
 CK with Chaibora family, Ubungo
Bhituro Lulu with Babu

Tuesday, July 15, 2014

WHILE WAITING FOR MY TURN

You are stopped at the Traffic Light.
Now you have to wait another turn for your traffic lane,
What to Do?
Take out your Smart Phone and make out some few snaps.