Tuesday, December 10, 2013

KONOZZ NA WADAU

Jumapili, Mwanakalenge - Bagamoyo.
Mrs Liboko na mjukuu wake.
Hawa walikuwa wapangaji wenzetu kwenye nyumba ya Mzee Mkodo.
Tuliachana mwaka 1991 nilipoondoka Bagamoyo kwa ajili ya utafutaji wa maisha.
Ama kweli milima haikutani, bali binadamu........

No comments:

Post a Comment