Wednesday, December 11, 2013

A DAY IN BAGAMOYO

 Nyumbani kwetu
Beach kwetu, ila kwa sasa ni msimu wa uchafu
 Ukiona vyombo viko juu, umechelewa samaki
 Weekend kwetu bila ngoma haiwezekani
 Poor NHC houses, zikigawiwa na kamati enzi hizo, sasa hivi wakazi wake wanaendelea kuwepo labda kwa kuwa tu nimeambiwa kodi haizidi Tshs 10,000 kwa mwezi
 Milima haikutani ati, Mrs Liboko tumekutana tena baada ya miaka 22 kupita
 Konozz na wadau
 Changing rapidly, vijiwe na fursa za kila aina sasa zinapatika. Nisichokuwa na hakika ni je zinaendeshwa na wazawa au wakuja?
 Uncle Juma Mwanambara
 Mgeni njoo mwenyeji apone
DED Bagamoyo,
Ofisi yetu wakati huo kabla ya kufanya expansion ya kulia

No comments:

Post a Comment