Wednesday, September 11, 2013

VIMBWANGA VYA FOLENI

Kama foleni haiendi, ya nini kusubiri ufike ndiyo uisafishe gari yako?
Nafikiri ndiyo lilikuwa wazo la Muungwana huyu asubuhi leo, Africarriers, Nyerere Road

No comments:

Post a Comment