Wednesday, September 11, 2013

LY WAHIDA

LY - Last Year
Wahida Jabir, Mdau wetu
Leo anaungana na LY wote nchini kushiriki mtihani wa siku mbili wa kumaliza elimu ya msingi.
Kipimo muafaka wa elimu ya msingi ya miaka saba iliyopita.
Kila la kheri Wahida,
Kila la kheri watahiniwa wote

No comments:

Post a Comment