Tuesday, April 2, 2013

MAJI YANAPOZIDI UNGA

 
 
Jumapili kwetu Kinyerezi
wakati wengine wakiwa kwenye shamra shamra za kusheherekea ufufuo wa Bwana Yesu, kwa mwenzetu mmoja (Mwenye kushikilia Radio-Picha ya nane) mambo yalizidi unga.
Pradoaliyokuwa akiindesha iliacha njia na kupinduka maeneo ya gereji mtaani kwetu.
Hakuna aliyepoteza maisha kwenye ajali hii.

No comments:

Post a Comment