Tuesday, April 2, 2013

KUTEMBELEA WADAU

 
 
Katika kudumisha Upendo, kama ilivyosisitizwa na Mzee wa Upendo. Marehemu Silas (apumzike kwa Amani)
Jumapili ilikuwa kiguu na njia kuwajulia hali Kurasini.
Gilbert ambaye alikuwa amelazwa kwa takribani wiki moja pale Polisi Ufundi alikuwa amepata nafuu na kuruhusiwa kurejea nyumbani siku hii, lakini tunapowasili pale jioni hiyo kumjulia hali na kumpa pole, alikuwa tayari kajichanganya kwenye mambo ya kusherehekea Pasaka, Shimo la Udongo!
Hata hivo tulikutana na Mama mwenye nyumba, Mdau Irene na mwanae Mark.
Safari ilimalizikia kwa Mdau Hatari a.k.a. Danger a.k.a. Mzee wa Ngumu Kumeza

No comments:

Post a Comment