Wednesday, February 27, 2013

JAHAZI KUANZA UVUVI

Dar Es Salaam City beatufications
Samaki wameanza kupatikana,
Jahazi letu linajiandaa kutweka tanga kuanza uvuvi.
Msimbazi Round About

MEETING THE KAMANDAZ

Pub of Samunge
Nilialikwa jana kushiriki tafakuri za kimaisha

Tuesday, February 26, 2013

UBUNGO - DAR

Ubungo kwetu
Usafiri wetu hakuna matata
Daladala ya Mwakyembe

Monday, February 25, 2013

HAKUNA MATATA

Uswazi kwetu, Hakuna matata
Nyumbani kwetu Kinyerezi jumapili

FROM MWANZA WITH PARCELS

Ndoo, Parcel maarufu kwa flight zote za kutoka Mwanza. Hii ilibeba Kamongo na Sato

Friday, February 22, 2013

KIJIWENI KUNA MAMBO!

 
Ama kweli wajinga ndio waliwao,
"Pete ya Bahati" uwape wengine wewe ungojee riziki kwa wateja wako.

SPACE WAGON

Ubunifu wa Bongo
Two in one
Space Wagon Car

Thursday, February 21, 2013

NEED I SAY MORE?

Hongereni Break Point
kwa mapishi na vyakula vya kikwetu,
Bhusima bhwo Bhutaga, Isatu, Imamba................
Need I say more?

A TRIP AT KIGAMBONI

 Boarding MV Magogoni
 South Beach Resort
 Bustani za maua, Mjimwema
 Ferry fish Market as seen from Kigamboni
 Mjimwema
 The Mwalimu Nyerere Memorial Academy
Mikadi Beaches
A lot to shoot while in Kigamboni, what you need is just hold your Camera in hand.

BONGO SKYSCRAPPERS

 Benjamin William Mkapa
 TPA Control Towe
 BOT Twin Towers
 PPF Towers
 Emerging RITA Tower
Utumishi Hse
Hii ndiyo Bongo Darisalama yetu ikibadilika kila siku

UKISTAAJABU YA MUSSA

Jahazi barabarani??
Ndiyo!!
Ni jahazi mzunguko wa Barabara za Uhuru na Msimbazi.
Ni juhudi za mapendezesho ya Jiji la Dar Es Salaam

COINCIDENCE

Carrying a tower by Coincidence
Ferry, Dar Es Salaam

Tuesday, February 19, 2013

POZI

 
Poses za Ma Miss wetu
Kinyerezi Uswazi kwetu, Jumapili

Monday, February 18, 2013

BAGAMOYO BLOCK HOUSE

Block House, 124 years old and still standing strong.
Kaburi la Bi Mgonela, inasemekana ndiyo mtumwa wa mwisho Bagamoyo.
Bagamoyo Jumamosi

BFQ YAHUJUMIWA

 Kidirisha kidogo kilichovunjwa ili kuruhusu kufungua
 Mdau Kagere akishangaa uharibifu huo
 BQF bila masikio (site mirror)
 Power windows zote kwishney
Mdau Chief Photographer akipewa pole.
Juzi alifajiri ya kuamukia Sabato, Vibaka waliingia kwa mdau Eddy, Chief Photographer wa Blog na kufanya hujuma kubwa kwenye gari ya mdau. Maarufu BQF