Thursday, February 21, 2013

UKISTAAJABU YA MUSSA

Jahazi barabarani??
Ndiyo!!
Ni jahazi mzunguko wa Barabara za Uhuru na Msimbazi.
Ni juhudi za mapendezesho ya Jiji la Dar Es Salaam

No comments:

Post a Comment