Monday, February 18, 2013

BFQ YAHUJUMIWA

 Kidirisha kidogo kilichovunjwa ili kuruhusu kufungua
 Mdau Kagere akishangaa uharibifu huo
 BQF bila masikio (site mirror)
 Power windows zote kwishney
Mdau Chief Photographer akipewa pole.
Juzi alifajiri ya kuamukia Sabato, Vibaka waliingia kwa mdau Eddy, Chief Photographer wa Blog na kufanya hujuma kubwa kwenye gari ya mdau. Maarufu BQF

No comments:

Post a Comment