Monday, October 1, 2012

MALEMBO AT MUHIMBILI

Leo nimepata fursa ya kwenda kumuona mdau Kulwa
Muhimbili, Mwaisela, Ghorofa ya pili, Wadi 5, Kitanda 31
Hali ni yenye matumaini kiasi, japokuwa suala la foot swelling bado linaendelea, BP Presure na Sukari yanazidi kuwatatiza wataalamu.
Kula siyo tatizo, kazi ni masharti yanayoambatana na aina ya vyakula.
Maombi yetu kwa pamoja yazidi kuwa nae.

1 comment: