Tuesday, October 2, 2012

HII NDIO KUTII SHERIA BILA SHURUTI

Polisi wana kauli mbinu ya "TII SHERIA BILA SHURUTI"
Wasimamizi wa sheria ni Serikali
Gari ya serikali inavunja sheria za serikali
Na ni kawaida kwa magari mengi ya Polisi, Jeshi, Mawizara.............
Najiuliza, Je wanatii Sheria????????

No comments:

Post a Comment