Tuesday, August 7, 2012

WELCOMING BABU IN STYLE


Baba/Babu anaporudi salama baada ya mihangaiko ya mchana kutwa, ni furaha kubwa kwa watoto.
Angalau wanakuwa na matumaini ya siku inayofuata.
Kinyerezi kwetu, Ijumaa iliyopita

No comments:

Post a Comment