Tuesday, August 7, 2012

CHENDANE, KIKAO CHA 19

Magwe, Happy
Silla, Eddy,Titus
Jackson, Eliud
Hon Member CK, Mr Chairman
See Offs
Jumapili
Kikao cha 19 cha Chendane kikaendelea kule Mbagala Kibonde Maji
Mwenyeji wetu Bw Joseph Magwe Nyambalya
Ajenda kuu kuongeza fungu la kila mwezi sasa kwa kuimarisha uchumi wa Chendane.
Ulikuwa mjadala mzito.
Kikao kijacho kitakuwa mitaa ya Jet Lumo kwa Agripina Lucas Dani 02 September 2012

No comments:

Post a Comment