Thursday, June 21, 2012

NYANDARO SEND OFF KIKAO CHA TISA

Hauchi, hauchi unakucha
siku zinazidi kuyoyoma.
17.06.2012 ni kikao cha Tisa, kabla ya shughuli kamili Ijumaa 22.06.2012
Kazi kubwa ni kufunga funga mafundo yaliyobakia
Wajumbe wakiwa makini kupitia ripoti za fedha
Ni nafasi adimu ya kupata kumbukumbu na Babu
Uhakiki wa majina
Ni wakati wa kutoa mialiko kwa waliochangia,
na hii ndiyo rangi yetu ya shughuli na kadi pia
Kufunga kwa maombi kwa ajili ya Mibaraka zaidi toka kwa Mwenyezi Mungu

No comments:

Post a Comment