Thursday, June 21, 2012

ABHENDE MSALYA .....1.......

Jumamosi 16.06.2012, bila kupangwa ikawa siku ya jamii ya Msalya kukutana.
Wengine wakitokea kikao cha Send Off kwa Aziziz Alli
Wengine wakitokea kupata neno la Mungu Biafra
Mawasiliano yalipopita ikakubaliwa kukutana Ukonga Recreation.
Waheshimiwa wakiwasili
Salamu za mabadiliko
Tafakari ya aina ya kinywaji na menu
Walio wengi walikumbuka nyumbani siku hiyo.
Nikakukmbuka methali au usemi maarufu wa zama zile
'Wajanja wawili hawachangii kichwa cha sato"
Baada ya vijimambo vya hapa na pale ikaonekana kuna haja ya kujiunga na wadau wengine kule Kipunguni.
Lakini kwanza malipo ya bili..................................

No comments:

Post a Comment