Wednesday, June 6, 2012

BYE NYAMAGOTI (MAMA TEREZA)

Eliud alifika pia kutoa mkono wa kwaheri
Mama Nyamweya all the way from Mtwara alikuwepo
J4
Bye
Ufike salama
Baada ya muda wa takribani miezi saba ya safari ya matibabu Dar Es Salaam na Mtwara, jana Bi mkubwa alikuwa akitamatisha kuwepo Dar. Wengi walifika kumpa mkono wa kwaheri kule Kipunguni kabla ya safari ya leo alfajiri wakiongozana na Dr George.
Habari zilizopatikana mchana huu walikuwa wakiingia Manyoni. Mambo yakienda vyema usiku saa Tatu wataingia Mwanza kabla ya kesho kuunganisha safari ya Kibara wakijiunga na Mwanasheria toka Mtwara ambae nae anaruka kesho.
Tuwaombee safari njema kwa wote wakati wa kwenda, na pia kwa safari yao ya kurudi.

No comments:

Post a Comment