Wednesday, June 6, 2012

BIRTHDAY ANNIVERSARY MDAU Dr GEORGE

Ukweli hauogopi
Mdau wetu
Dr George,
Mumewe na Lilian,
Baba yake na CK Peter, Penina na Pricilla
Mwanae Mwl Belly
Kaka yake na Eddyson
Mpwae Mwanasheria Nyachiriga
leo alitaka kufanya siri, kutojulisha siku yake muhimu.
Lakini ukweli ukawa wazi
LEO
06.06.2012
ni
BIRTHDAY YA MDAU
NI BIRTHDAY YA 39
HAPPY BIRTHDAY
Dear Dr, GEORGE

No comments:

Post a Comment