Saturday, February 25, 2012

UJUMBE WA LEO KUTOKA KWA DALADALA

Ujumbe wa leo kutoka kwenye Daladala za jiji la Darisalama umeniacha nikitafakari mambo mengi................................, hasa ujumbe namba moja.

Wanasema

NGUVU HUNA, PESA HUNA, Hata MKWARA??

Mtaji wa masikini, nguvu huna..............

Pesa, nguvu ya Matajiri imekupitia kando..........

Tuseme ndiyo mwisho wa maisha??

NO WAY

Hata kujikakamua binafsi, kujibidisha na kuonesha unaweza?????

No comments:

Post a Comment