Tuesday, February 28, 2012

KAMA HUKUFANYA MAZOEZI NYUMBANI

Leo nimewahi ofisini Ndio kwanza ofisi zikifunguliwa, na ili mambo kwenda fasta........................

Hakukuwa na jinsi, nilibidi kusaidia usafi wa nje

Ama kweli ilikuwa sehemu ya mazoezi, kama hukufanya mazoezi asubuhi wakati wa kuamuka

No comments:

Post a Comment