Monday, January 30, 2012

KUNA KA UKWELI NDANI YAKE

Nimekutana na hii sehemu,

Nikaitafakari................................

Nadhani ina ukweli ndani yake, japo mie natilia shaka No. 3-2

YALE YALE YA ENZI YA KINOKIA

Olympus ya Blogger imekuwa inasumbua siku hizi, No updates.

Majuzi Blogger akaona ajaribu tena mtindo wa Kinokia.

Kupanda Daladala kwenda Mjini ya Kariakoo kikaanza kujaribiwa. Wa kwanza akawa abiria mwenzangu kiti kimoja.

Hana habari, nikafanikiwa kumnasa
Ndani ya Daladala tena, huyu utadhani anajua kinachoendelea kumbe wapi

Nikaingia mitaa ya Kariakoo

Nyomi ya watu kama kawaida

Na mabadiliko yenye kasi ya ajabu, Darisalama we acha tu

Nikapitia na sokoni Kariakoo

Naam, nina hakika ya post walau moja wiki hii

Na pengine panapo majaaliwa Olympus itakuwa ishapona

Friday, January 20, 2012

BORA MZIGO UFIKE

Nimeinasa jana jioni
Mbuzi akiwa amepakiwa juu kabisa ya tanki ya gari ya kubebebea mafuta

Saturday, January 14, 2012

MDAU NYACHIRIGA BIRTHDAY 14 JANUARI

Kulingana na kumbukumbu za Diary ya Mzee CK

Leo 14 Januari

ni siku ya mdau wetu

Mwanasheria

aka Mzee wa Halmashauri

NYACHIRIGA BRIGHT K. MSALYA

Leo ni Birthday yake

HAPPY BIRTHDAY OUR DEAR NYACHIRIGA

Thursday, January 12, 2012

MAPINDUZI DAY NA BIRTHDAYS ZA WADAU

Leo

12 JANUARI

Ni siku maalum
Leo Zanzibar inasheherekea miaka 48 ya mapinduzi

Lakini pia ni siku maalum ya mdau wa blog hii
CECY KITOJO (kulia)
Office mate wangu


Leo ni siku yake ya kuzaliwa

HAPPYBIRTHDAY CECY

Lakini pia ni siku maalum kwa mdau mwingine wa Blog yetu.

Huyu ni Bi Mkubwa

AMINA KAZINYINGI

Leo pia ni birthday yake

HAPPYBIRTHDAY OUR DEAR MAMA

Wednesday, January 11, 2012

THE MSALYAS ADDS UP

Wakati sikukuu za Birthdays nyingi zikiendelea kwenye msimu huu wa Sikukuu,

Familia na Ukoo wa MSALYA imeongezeka

Kupitia kwa

JACKSON MWAYAI MSALYA

ambae amepata

BABY GIRL

siku ya jumamosi

tarehe 07 JANUARI 2012

Monday, January 9, 2012

DARISALAMA KWELI MJINI SHULE

Jioni moja wakati wa kutoka ofisini tunamkuta mheshimiwa huyu nje kwetu.
Haijulikani imekuwaje yuko chini namna hii? Kaanguka au namna gani hatujui.............
Wasamaria wema wakawepo kumsikiliza na kumsaidia.
Akasema anakaa mitaa ya Kawe, anatokea mitaa ya Machinga kumtafuta jamaa yake ampe hela ya dawa maana anaumwa. Kufika hapa kaishiwa nguvu kaanguka.
Wasamaria wema wanamuuliza kama amekula au la....

Anasema hajala, lakini shida yake kubwa yeye kwa kuwa anaumwa anaomba Shillingi elfu tatu tu ili akapime Malaria hospitali.
inakuwa mtihani kwa wasamaria...........................
Hata hivyo wasamaria wengine wanajitolea kumnunulia soda.
itamfaa labda kidogo kupata nguvu akisubiria kupata msaada wa shillingi 3,000/= za kupimia malaria

Kesho yake tunahadithiwa alipata mfadhili wa shillingi 5,000/=, na baada ya kuzipokea alipata nguvu za kurudisha chupa tupu ya soda pale ilipokuwa imenunuliwa na wasamaria wa mwanzo.

Makubwa haya.............

Kweli mjini shule.......

NA LEO NI BIRTHDAY YA MDAU BARUKU

Msimu wa sikukuu ukisonga mwishoni, Birthday za wadau nazo zinasonga..................

Na leo ni Birthday ya Mdau

MSALYA BARUKU K. MSALYA

Miaka 35 iliyopita

tarehe kama ya leo

Mdau anazaliwa pale Nakatuba, Kibara - Bunda

lakini leo anaimbiwa

HAPPY BIRTHDAY OUR DEAR

BARUKU

akiwa Karatu

MIKOLINA NA BLOGGER WASHEHEREKEA BIRTHDAY ZAO

Jana ilikuwa ni siku ya kikao cha ndugu, "CHENDANE FOUNDATION" kule kwetu Kinyerezi kwa Bw Jackson Kaigi. Na wajumbe wakajimwaya mwaya na Pilau na Soda.

Lakini kumbe jana ilikuwa siku maalum.

Birthday ya

MIKOLINA JACKSON KAIGI

08 JANUARY 2012

Mdau Miko alinaswa mapema asubuhi akihangaikia mahitaji ya shughuli yenyewe Shopping asubuhi ilikuwa ya nguvu
Mdau MIKOLINA
HAPPY BIRTHDAYMIKOLINA JACKSON KAIGI
Mdau pia ana maandalizi wiki hii ya kujiunga na Darasa la TISA, "KIDATO CHA KWANZA" pele Sekondari yetu ya Kinyerezi.
Pamoja na mdau Mikolina.

Jana pia ilikuwa siku ya Chief Blogger ambako ametimiza miaka kadhaa

Thursday, January 5, 2012

DID U KNOW????

Simulizi na kumbukumbu zinatuelekeza kwamba alizaliwa tarehe 04 Januari 1932
Kwa maana hiyo
Jana 04 Januari 2012
ilikuwa ni siku kubwa kwa Mdau Mkubwa
CRAWFORD KULWIJIRA MSALYA MASEME

HAPPY BIRTHDAY DEAR DAD

Wednesday, January 4, 2012

DELMONTE TEA MEETING FOR NEW YR STRATEGY

MD, George K Rupia havings a word with members of staff
High table

From Left - Billy(Mr Blogger), Eng Mushi, MD GK Rupia and QS Dickson

Members of staffs listnening

Its tea time

Staffs taking their breakfast

Dativa and Cecy

Rajab

George Mayunga and Ibrahim Sadick



queing................

Tasty breakfast............

group Photos




















Back to work