Monday, January 30, 2012

YALE YALE YA ENZI YA KINOKIA

Olympus ya Blogger imekuwa inasumbua siku hizi, No updates.

Majuzi Blogger akaona ajaribu tena mtindo wa Kinokia.

Kupanda Daladala kwenda Mjini ya Kariakoo kikaanza kujaribiwa. Wa kwanza akawa abiria mwenzangu kiti kimoja.

Hana habari, nikafanikiwa kumnasa
Ndani ya Daladala tena, huyu utadhani anajua kinachoendelea kumbe wapi

Nikaingia mitaa ya Kariakoo

Nyomi ya watu kama kawaida

Na mabadiliko yenye kasi ya ajabu, Darisalama we acha tu

Nikapitia na sokoni Kariakoo

Naam, nina hakika ya post walau moja wiki hii

Na pengine panapo majaaliwa Olympus itakuwa ishapona

No comments:

Post a Comment