
Mdau alidamka mapema mno.
Kwa hakika si kawaida yake
Nakumbuka nilifanya mtihani kama huo November 1970.
Sina hakika kama mtihani wa miaka hiyo 42 iliyopita utakuwa kwa kiwango kile kile cha leo.
KILA LA KHERI MDAU Mr. CK KWENYE MTIHANI WAKO WA TAIFA WA DARASA LA NNE
Kila la heri Bw. CK. Hivi majuzi tulipokuwa nyumbani Mimi Kaka George, Babu Mzee CK, Kaka Eddy, Kaka Eliud, Bibi Thereza tukangoja hadi karibu saa 2 usiku hukuonekana ulikwenda wapi na ulirudi saa ngapi?! Au Mdau ulikuwa umejichimbia sehemu ukipata nondos ili leo zikutowe?! Inshallah Mungu ni mwema.
ReplyDelete