Unavikumbuka vikao vyetu vya kule Kizota Bar - Sabasaba(Mwl Nyerere Grounds)?
Total Pageviews
Monday, November 28, 2011
Tuesday, November 22, 2011
MY 21 DAYS VACATION TO NAKATUBA - BUNDA
Kutoka majita kurudi Nakatuba, tukapata nafasi ya kupitia Bunda kuwaona ndugu na jamaa walioko hapa. Familia ya Mzee Mwayai makazi yao kwa sasa ni hapa Bunda pamoja na ndugu wengineo wengi. Hapa tunapata nafasi ya kuonana na watu adimu.
Mr Maseme tulionana mara ya mwisho kule Nakatuba wakati huo hata shule alikuwa hajaanza.
Lakini leo naambiwa ni mtaalamu mkubwa wa kilaji............, tena kile cha mwitu
MY 21 DAYS VACATION TO NAKATUBA - TASWIRA KUTOKA MAJITA
Kuna huduma za Magari, vyakula na vinywaji.
Mradi wa uchimbaji visima Makojo
Monday, November 21, 2011
KIPAIMARA - KEVIN SOSPETER KWESI
Saturday, November 19, 2011
Kijembe kwa Blogger: UNAPENDELEA!!
Mr Blogger baada ya kumrusha mdau CK Jnr siku anakwenda kufanya mtihani wa taifa wa darasa la nne amejikuta akipigwa kijembe kuwa anapendelea. Hii ni baada ya wiki baadae Mdau Minoo nae akawa anaenda kufanya mitihani ya kumaliza darasa la kwanza, akidhani atapigwa picha na kurushwa siku hiyo, kumbe sivyo.
Kwa hali hiyo imenilazimu kutafuta fedha za kupigia picha hizi siku anarudi kutoka kwenye papers ili zirushwe.
HONGERA SANA MDAU
HONGERA SANA MDAU
Safari bado ndefu
Thursday, November 17, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)