Monday, July 18, 2011

NI KWELI BAJAZA ZIPO

Mwanzoni nikidhania ni Porojo za Voda.................. Lakini siku moja pale Msimbazi Mission nikafanikiwa kunasa taswira hii.

Wenye Taxi kazi kwenu, maana hii mtu SABA

No comments:

Post a Comment