Monday, July 18, 2011

MDAU SHABANI MAGWE MBIONI KUPATA JIKO

Mdau Shabani Labani Manyonyi Magwe anajiandaa kupata jiko 05.11.2011

Na vikao vimeanza

Jumamosi iliyopita kilianza kikao cha kwanza

Vikao vitakuwa vikifanyika uwanja wa maonesho ya sabasaba, kwenye baa ya Kizota

Kikao kijacho, kitakuwa Jumamosi tarehe 30.07.2011, hapohapo kizota kuanzia saa 10 jioni

Wadau wengi walijitokeza

No comments:

Post a Comment