Wednesday, April 6, 2011
OLD IS GOLD - Memories from Liwale
picha ya miaka ya miaka ya mid 1990s tukiwa liwale kufanya forestry and soil research
tuko mbele ya rest house ya serikali ambayo tuliitumia kwa malazi kwani wakati huo guest house za kawaida zilikuwa chache kabisa
Hapo ni karibu kabisa na nyumba binafsi ya mzee kawawa na boma la mjerumani
Boma hili lilitumika kunyonga machifu wazalendo na alama za vichwa vyao ziko hadi leo
Kazi hii ilikuwa inafadhiliwa na Finland kupitia mradi wa RIPS, rural integrated projects support. Wadhifa wangu wakati huo ulikuwa Participatory Methods Training Officer
Mniombee katika kazi yangu ya:
Senior Partner
MSALYA & CO. CONSULTANTS
Advocates, Notaries Public, Commissioners for Oaths, Arbitrators, Conveyancers and Development Consultants
Kanisa la Biblia Compound
Makonde Road
P.O. Box 1215 Mtwara
No comments:
Post a Comment