Tuesday, September 7, 2010

TENDAWILI, TEGA !!!!!!!!!!!!!


1.
HUYU NI NANI?
VIELELEZO VIWILI KUTHIBITISHA JIBU LAKO


2.
HAPA NI WAPI?????????
VIELELEZO VYAKO VYA KUSAPOTI JIBU LAKO

5 comments:

  1. Huyu atakuwa mzee Mgabo wa Mwanza.

    1. Miwani yake
    2. Kichwa hicho
    3. Usmart

    ReplyDelete
  2. hao ni Nyakatubha mkona. Kama sikosei aliyesema na mwanadada ni Mnyonyo Kajana. Inaonekana hotel ya kwanza kabisa Nakatuba, Geriga whatever (tulikuwa tunaita hotel), na nyumba ya marehemu Islomu Matekele.

    ReplyDelete
  3. Namba moja, bado uko mbali
    ahsante kwa kujaribu

    Hotel ni kweli
    nyumba ya Eslomu baada ya Hotel
    likely huyu ni Bw Munyonyo au Wangaya... kitu kama hicho
    Unaweza kujua hapo kulia panapofuka moshi ni kwa nani?
    Na hii nyumba ya kwanza kushoto ni......

    ReplyDelete
  4. Hii picha ya kwanza, mh, nilitaka kujaribu, lakini mh, hapana.
    Hii ya pili naweza sema kidogo, mosi huyu alibeba mtoto na kuipa kisogo picha atakuwa shangazi Chabhusiku, pili panapofuka moshi ni mbele ya Geriga Sheraton Hotel, na moshi wa chini unatokea kwenye "mjunguti wa fundi mjunguti a.k.a msamwa according to mzee C.K.", kabla ya hotel ni oofisi ya kijiji (ni ya kijiji au C.C.M?)

    ReplyDelete
  5. Nipeni mji.....
    Huyu ni Bw Magoti Billy Kulwijira Msalya a.k.a Burude, a.k.a ChaiBora a.k.a. Diwani na hii ni alama ya ukumbusho kutoka kwa Dada Belly Nyabhwangu (Mama Joji au Mama Edi)iliyowekwa hapo mwaka 1964 huko Nakatuba,karibu na pale kwenye mjunguti. Wakati huo yakiwa makazi ya Bibi yetu mpendwa Sarah, binti Msemwa mdogo wa Bhituro

    ReplyDelete