Tuesday, September 7, 2010

MSALYA ANNIVERSARY: 1895 - 04 JUNE 1966 (MEMORIES TO LIVE ON 2)

Hakika, ambao walikosa kusanyiko hili walikosa mengi, hata hivyo picha hizi za kukumbukumbu zitawasaidia kuwaeleza walichokosa......................... utaona kuwa picha zenyewe zinaongea
............nyabhilingi(nyamisi)...........
ilikuwa ni furaha tu............
hii ni marudio ya picha moja niliyowahi kuiona ya hawa jamaa,
ile inasemekana ilipigwa mwaka 1958,
wakiwa ndani ya makoti...................
kwa mdau atakaekuwa na nakala yake anaweza kuturushia hapa kwenye blog yetu
shughuli imekamilika, ni staftahi la brekifasti tayari kwa kuanza safari
Huyu dhahiri hakufurahia kuondoka kwa ugeni huu uliokuwepo
Mungu wetu mwema,
ombi maalumu kwa wasafiri......
vizuri sana kumtanguliza yeye kwa kila jambo
SAFARI NJEMA..........................

1 comment:

  1. itenerary: mtwara team - tentative
    3/12/10 travel mtwara dar
    5/12/10 travel dar moro
    7/12/10 travel moro bunda
    9/12/10 travel bunda nakatuba
    10/12/10 travel nktb karukekere
    12/12/10 party
    13/12/10 travel krkr bd
    nyamweya day oyee

    ReplyDelete