Wednesday, August 4, 2010

MSALYA ANNIVERSARRY: 1895 - 04 JUNE 1966 (2)


Maelekezo na ufafanuzi kila ilipobidi



Ufuatiliaji wa karibu wa majadiliano ya wadau kikaoni ulionekana wazi
Mdau Nyabhutache


Naunga mkono hoja
vikao na utambulisho vikiendelea
Mikakati ikapangwa
chini ya uongozi mahiri wa mwenyekiti
na katibu wake

1 comment:

  1. MDAU KUTOKA UK:

    Mdau wa Ukerewe si mzima, anahitaji kufanyiwa uchunguzi wa mwili wake. Kwa lugha rahisi tunaweza kusema hayuko sawa (she is abnormal) kabla au wakati wa kuzaliwa tatizo ambalo linaweza kuwa limesababishwa na kutogawanyika vizuri kwa cells, au utendaji mbovu wa hormones za mwili wake. Hatuwezi kusema chochote zaidi ya kupredict chanzo cha tatizo. Kitu ambacho kinaweza kufanyika ni kupata historia yake na pia historia ya mama, then kufanya uchunguzi zaidi kuhusu mwili wake. Kama ana cells nyingi kuliko kawaida kwa mfano, anaweza asipate uzazi, na matatizo mengineyo. I can be corrected!

    Msalya, G

    ReplyDelete