Wednesday, August 4, 2010

MSALYA: 1895 - 04 JUNE 1966





Wadau hatimae mtandao umeendelea kuonesha matumani, hivyo nimeonelea nianze kuwawekea taratibu.
Ziko picha nyingi ambazo haziwezi kupanda kwa pamoja, hivyo nitajitahidi kuweka kwa awamu.
Hapa ni picha za vikao vya maandalizi.
Ikumbukwe mwenyekiti alikuwa mwenyewe Mzee Mwayai, akisaidiwa na katibu wake Mwl Bilshan "Chuma"
Karibuni tuwe wote hadi itakapofikia tamati

No comments:

Post a Comment