Total Pageviews

Thursday, May 26, 2011

CHIEF BLOGGER KAZEEKA, HANA KUMBUKUMBU

Mdau Karen wiki hii ilikuwa pia Happy Bethidei yake.

Lakini Chifu Blogger alikuwa kalala usingizi wa fofofo

Memory kapoteza...........................

Kitendawili kwa wote, unajua kwa nini kasituka leo????

Kasoma Blog,

Wewe unapitia kuangalia???

HAPPY BIRTHDAY Our DEAR

KAREN

Thursday, May 19, 2011

SUNRISE AT MAKURUNGE

Siku hii niliamuka alifajiri kwa safari ya Bagamoyo Kiwangwa.

Mto Ruvu ukawa umefurika kisawasawa, kasoro ft moja tu kufikia barabara.

Hii ni kabla ya kuvuka hili daraja kwenye mto Ruvu hapo Makurunge

Taswira hii ya Sunrise ikanivutia

Nilivyorudi baadae, hali ilikuwa tofauti

MASKINI MTAA WANGU WA GONGONI, BAGAMOYO

Gongoni Street Zamani hizo, hii ndiyo ilikuwa Samora Street ya Bagamoyo.
Very famous, very busy na majina makubwa yalipatikana mtaa huu....

Meghji House, hosted a very Big shop and Petrol station.

Na soko

Delmonte, playing part to build new Bagamoyo

Nakumbuka wakati niko Bagamoyo jengo hili lilikuwa na ofisi za Elimu, Maliasili Uvuvi, Fedha

na bila kusahau Duka la Ushirika Kurugenzi kwa chini.

Monday, May 16, 2011

WADAU WAJITOKEZA KIKAO CHA SITA CHA WANANDUGU

Mwenyekiti wa Kikao cha Wanandugu, nilikuwa nimelala Bagamoyo kwa ajili ya kukamilisha shughuli za kikazi, na baadae kuwahi kikao cha wanandugu kule Mbagala.

Kikao cha sita kilipangwa kiwe tarehe 01 Mei 2011Wadau wakaitikia mwito na kujitokeza kwa wingi kuhudhuria kikao hichi huku kwetu Uswazi
njia za kwetu huku si mchezo

sehemu nyingine lazima kusubiriana

na lazima kuwa na wataalamu wa kusoma ramani waliobobea

Naam, huku ndiyo kwetu Mbagala, hapa nyumba pale jalala

Lakini hatimae wageni waliwasili, na kupokewa na wenyeji wao Bw Titus Gunze kwa bashasha na furaha tele

Na baadae kikao kiliendelea kama kawaida




ajenda nyingine zilihitaji kukuna vichwa na busara ya hali ya juu

huku wajumbe wakichambua huku na kule






Lakini hatimae kikao kilimalizika, na wajumbe wakarejea makwao salama salimini.Kikao chetu kifuatacho kitakuwa Kitunda tarehe 29 Mei 2011 na Mwenyeji wetu safari hii ni familia ya Bw. Kulwa Malembo.


Tutaonana huko

Saturday, May 14, 2011

DAY OF ROYAL WEDDING 29.04.2011

Siku ulimwengu ulipokuwa ukifuatilia Royal Wedding, Somewhere in Newala mdau wetu MSALYA nae alikuwa akifuatiliwa wedding yake na umati mkubwa wa vijiji vya Msongwere,Mandara, Mpotola na Kitangari kule kusini mwa Tanzania, wilayani Newala mkoa wa Lindi



Unamkubali na utamtunza kwa shida na raha????????????






unilishe, nikulishe




Thursday, May 12, 2011

COUNT DOWN TO MDAU'S DAY

Mdau Tabitha anatimiza miaka kadhaa ..............kesho kutwa 17 MAY 2011


HAPPY BIRTHDAY OUR DEAR TABITHA

GOD BLESS YOU TO LIGHT THE 101 CANDLE ONE DAY

Tuesday, May 10, 2011

MDAU's DAY PRICILLA



Mdau PRICILLA a.k.a. JAPANESE majuzi

23.05.2011

ilikuwa siku yake ya kuzaliwa.

alikuwa akifunga mwaka wa tatu.

HAPPY BIRTHDAY PRICILLA

Mjini Morogoro Mdau aliandaliwa pati la nguvu.

Kwa yaliyojili katika pati hilo.

endelea kuangalia hapa